Karibu EduVision. Hapa ndipo palipo na umbele wa elimu.

Katika Eduvision tunaiona dunia ambapo kila mtoto anauwezo wa kupata elimu. Dunia ambapo habari, usanii, hekima na fikira chunguchungu vina gawanywa kwa uwazi kwa ajili ya manufaa ya wote, bila kuzingatia mpaka, utajiri, jiografia, na hata muundombinu. Dunia ambapo kila mtu mwenye hamu ya kujifunza anaeza fanya hivyo. Ambapo kupata ufundi/ teknolojia na vitendo zenye zina weza rahisisha hali ya maisha katika eneo zenye maisha duni ni mengi.Ambapo hekima inayowahusu watu fulani au sehemu fulani yanaweza kupitishwa kwao kwa haraka na bila tatizo lolote.

Taabiri dunia ambapo mwanafunzi aliye katika kijiji mbali kwenye mpaka wa Kenya na Uganda anawezapata maktaba ya vitabu millioni kumi na tano.

Mradi wa Eduvision kwa upole unakuza mbegu la kwanza kwa ajili ya kutimiza hili ndoto.

Zama ya habari,ingawa imejawa na ahadi,imelete faida kidogo kwa nchi zinazostawi. Ilhali teknolojia katika nchi za magharibi zinazidi kudopolewa, wanaoishi mashambani mwa Africa wanavuna kidogo sana kutoka kwa mafanikio haya. Eduvision ina azimu njia mpya ya kufikiria juu ya elimu kwenye muktadha za nchi zinazostawi. Mradi huu utawezesha umbele kwa ajili ya kutoa ufumbuzi bunifu na fikra ambazo zitawezesha nchi zinazo sitawi kunufaika kutokana na "zama ya habari" jinsi nchi zilizo sitawi zimefanya.

     EduVision P.O. Box 30772-0100 Nairobi, Kenya info@eduvision.or.ke